The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 30 › Kutoka 30:23

Kutoka 30:23

“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 + 30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 250 + 30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Take thou also unto thee principal spices, of pure myrrh five hundred shekels, and of sweet cinnamon half so much, even two hundred and fifty shekels, and of sweet calamus two hundred and fifty shekels,

In Context

22Kisha Bwana akamwambia Mose,

24shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini + 30:24 Hini moja ni sawa na lita 4. ya mafuta ya zeituni.

Read all of Kutoka 30

Cross References

Exodus 37:29Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato.

1 Chronicles 9:29Wengine walipangiwa kutunza mapambo na vifaa vingine vya patakatifu, pamoja na unga, divai, mafuta, uvumba na vikolezo.

Psalms 45:8Mavazi yako yote yana harufu nzuri 2 ya manemane, udi na mdalasini; 1 kutoka kwenye majumba ya kifalme 2 yaliyopambwa kwa pembe za ndovu, 1 sauti za vinanda vya nyuzi 2 zinakufanya ufurahi. 1

Song of Solomon 1:3Manukato yako yananukia vizuri, 2 jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. 1 Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 1

Song of Solomon 4:14nardo na zafarani, 2 mchai na mdalasini, 2 pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, 2 manemane na udi, 2 na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote. 1

Jeremiah 6:20Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, 2 au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? 1 Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, 2 dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 30:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 30:22Kutoka 30Kutoka 30:24 →