Kutoka 30:27
meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the table and all his vessels, and the candlestick and his vessels, and the altar of incense,
In Context
26Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda,
28madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.