Exodus 30:28
madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote na sinia pamoja na kitako chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the altar of burnt offering with all his vessels, and the laver and his foot.
In Context
27meza na vifaa vyake vyote, kinara cha taa na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,
29Utaviweka wakfu ili viwe vitakatifu sana na kila kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.
Cross References
Exodus 29:37Kwa muda wa siku saba fanya upatanisho kwa ajili ya madhabahu na kuiweka wakfu. Ndipo madhabahu itakuwa takatifu sana na chochote kitakachoigusa kitakuwa kitakatifu.
Exodus 40:11Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.