Exodus 31:4
ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To devise cunning works, to work in gold, and in silver, and in brass,
In Context
3nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
5kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi.
Cross References
Exodus 26:1“Tengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi atatarizi makerubi kwenye mapazia hayo.
1 Kings 7:14ambaye mama yake alikuwa mjane kutoka kabila la Naftali na baba yake alikuwa mtu wa Tiro tena fundi wa shaba. Hiramu alikuwa na ustadi wa hali ya juu na mzoefu katika aina zote za kazi ya shaba. Alikuja kwa Mfalme Solomoni na kufanya kazi zake zote alizopangiwa.
2 Chronicles 2:13“Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,