The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 31 › Kutoka 31:9

Kutoka 31:9

madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the altar of burnt offering with all his furniture, and the laver and his foot,

In Context

8meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba,

10pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani,

Read all of Kutoka 31

Cross References

Exodus 27:1“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu; + 27:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, + 27:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25. na upana wake dhiraa tano.

Exodus 38:1Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; + 38:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano + 38:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 31:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 31:8Kutoka 31Kutoka 31:10 →