Kutoka 38:1
Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; + 38:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano + 38:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 30:17Kisha Bwana akamwambia Mose,
Exodus 40:29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.
2 Chronicles 4:1Mfalme Solomoni akatengeneza madhabahu ya shaba yenye urefu wa dhiraa ishirini, + 4:1 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. upana wa dhiraa ishirini na kimo chake dhiraa kumi. + 4:1 Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5.
Ezekiel 43:16Pale pawashwapo moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili + 43:16 Dhiraa 12 ni sawa na mita 5.4. na upana wa dhiraa kumi na mbili.
Romans 8:3Kwa maana kile ambacho sheria haikuwa na uwezo wa kufanya, kwa vile ilivyokuwa dhaifu katika mwili, Mungu kwa kumtuma Mwanawe mwenyewe kwa mfano wa mwanadamu mwenye mwili ulio wa dhambi na kwa ajili ya dhambi, yeye aliihukumu dhambi katika mwili,
Hebrews 3:1Kwa hiyo ndugu watakatifu, mnaoshiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini Yesu, mtume na Kuhani Mkuu wa ukiri wetu.