The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 32 › Kutoka 32:26

Kutoka 32:26

Kwa hiyo Mose akasimama kwenye ingilio la kambi, akasema, “Yeyote aliye upande wa Bwana, aje upande wangu.” Walawi wote wakamjia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Moses stood in the gate of the camp, and said, Who is on the LORD’S side? let him come unto me. And all the sons of Levi gathered themselves together unto him.

In Context

25Mose akaona kuwa watu wameasi, kwa kuwa Aroni alikuwa amewaacha waasi, na hivyo kuwa kichekesho kwa adui zao.

27Ndipo alipowaambia, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli asemalo: ‘Kila mmoja wenu ajifunge upanga wake kiunoni aende huku na huko kambi yote mwisho hadi mwisho mwingine, kila mmoja amuue ndugu yake, na rafiki yake na jirani yake.’ ”

Read all of Kutoka 32

Cross References

Deuteronomy 33:9Alinena hivi kuhusu baba yake na mama yake, 2 ‘Mimi siwahitaji kamwe.’ 1 Akawasahau jamaa zake, 2 asiwatambue hata watoto wake, 1 lakini akaliangalia neno lako 2 na kulilinda Agano lako. 1

2 Samuel 20:11Mmoja wa watu wa Yoabu akasimama kando ya Amasa, akasema, “Yeyote ampendaye Yoabu na yeyote aliye upande wa Daudi, na amfuate Yoabu!”

Psalms 94:16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? 2 Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 32:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 32:25Kutoka 32Kutoka 32:27 →