Exodus 32:25
Mose akaona kuwa watu wameasi, kwa kuwa Aroni alikuwa amewaacha waasi, na hivyo kuwa kichekesho kwa adui zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:10Naye akajibu, “Nilikusikia katika bustani nikaogopa kwa sababu nilikuwa uchi, hivyo nikajificha.”
Deuteronomy 9:20Bali yeye alimkasirikia Aroni kiasi cha kutaka kumwangamiza, nami wakati huo nilimwombea Aroni pia.
Isaiah 47:3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1
Daniel 12:2Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele.
Micah 1:11Piteni mkiwa uchi na wenye aibu, 2 ninyi mkaao Shafiri. 1 Wale waishio Saanani 2 hawatatoka nje. 1 Beth-Eseli iko katika maombolezo; 2 kinga yake imeondolewa kwako. 1
Revelation 3:17Kwa maana unasema: ‘Mimi ni tajiri, nimejilimbikizia mali, wala sihitaji kitu chochote.’ Lakini hutambui ya kwamba wewe ni mnyonge, wa kuhurumiwa, maskini, kipofu, tena uliye uchi.