The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 32 › Exodus 32:3

Exodus 32:3

Kwa hiyo watu wote wakavua vipuli vyao, wakavileta kwa Aroni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And all the people brake off the golden earrings which were in their ears, and brought them unto Aaron.

In Context

2Aroni akawajibu, “Vueni vipuli vya dhahabu ambavyo wake zenu, wana wenu na binti zenu wamevaa, mkaniletee.”

4Akavichukua vile vitu walivyomkabidhi, akavifanyiza kwa kusubu sanamu yenye umbo la ndama, akaichonga kwa kutumia chombo. Kisha wakasema, “Hii ndiyo miungu yenu, ee Israeli, iliyowapandisha kutoka Misri.”

Read all of Exodus 32

Cross References

Judges 17:3Alipozirudisha zile shekeli 1,100 za fedha kwa mama yake, mama yake akamwambia, “Mimi nimeiweka fedha hii wakfu kwa Bwana kwa ajili ya mwanangu kutengenezea kinyago cha kuchonga na sanamu ya kusubu. Mimi nitakurudishia wewe.”

Isaiah 40:19Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu, 2 naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu 2 na kuitengenezea mikufu ya fedha. 1

Jeremiah 10:9Huleta fedha iliyofuliwa kutoka Tarshishi 2 na dhahabu kutoka Ufazi. 1 Kile ambacho fundi na sonara wametengeneza 2 huvikwa mavazi ya rangi ya samawi na urujuani: 1 vyote vikiwa vimetengenezwa 2 na mafundi stadi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 32:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 32:2Exodus 32Exodus 32:4 →