Kutoka 32:34
Sasa nenda, uongoze hao watu mpaka mahali nilipokuambia, naye malaika wangu atakutangulia. Pamoja na hayo, wakati utakapofika wa mimi kuwaadhibu, nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi yao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Bwana akamjibu Mose, “Yeyote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta kutoka kwenye kitabu changu.
Cross References
Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Exodus 33:2Nitamtuma malaika mbele yenu, naye atawafukuza Wakanaani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Exodus 33:14Bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”
Numbers 20:16lakini tulipomlilia Bwana, alisikia kilio chetu na akamtuma malaika akatutoa Misri. “Sasa tupo hapa Kadeshi, mji ulio mpakani mwa nchi yako.
Psalms 99:8Ee Bwana, wetu, 2 ndiwe uliyewajibu, 1 kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, 2 ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 1
Jeremiah 5:9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 juu ya taifa kama hili? 1