Kutoka 35:16
madhabahu ya sadaka za kuteketeza pamoja na wavu wake wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote; sinia la shaba pamoja na tako lake;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, pazia la ingilio la kwenye ua;
Cross References
Exodus 27:1“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu; + 27:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, + 27:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25. na upana wake dhiraa tano.
Exodus 38:1Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; + 38:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano + 38:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.