Exodus 35:3
Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.” 1 Vifaa Kwa Ajili Ya Maskani Ya Mungu (Kutoka 25:1-9)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall kindle no fire throughout your habitations upon the sabbath day.
In Context
4Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Bwana aliloamuru:
Cross References
Exodus 12:16Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, na kusanyiko jingine katika siku ya saba. Katika siku hizo msifanye kazi kamwe isipokuwa kutayarisha chakula cha kila mmoja; hilo ndilo tu mtakalofanya.
Numbers 15:32Waisraeli walipokuwa jangwani, mtu mmoja alikutwa akikusanya kuni siku ya Sabato.