bible.software › Exodus › Exodus 35 › Exodus 35:4
Exodus 35:4
Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Bwana aliloamuru:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses spake unto all the congregation of the children of Israel, saying, This is the thing which the LORD commanded, saying,
In Context
3Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.” 1 Vifaa Kwa Ajili Ya Maskani Ya Mungu (Kutoka 25:1-9)
5Toeni sadaka kwa Bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba;
Read all of Exodus 35
Cross References
Exodus 25:1Bwana akamwambia Mose,
Exodus 39:32Kwa hiyo kazi yote ya maskani, Hema la Kukutania ikakamilika. Waisraeli wakafanya kila kitu sawasawa kama vile Bwana alivyomwagiza Mose.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 35:4