The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 36 › Kutoka 36:14

Kutoka 36:14

Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he made curtains of goats’ hair for the tent over the tabernacle: eleven curtains he made them.

In Context

13Kisha wakatengeneza vifungo hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha zile fungu mbili za mapazia pamoja ili maskani ipate kuwa kitu kimoja.

15Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, + 36:15 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5. na upana wa dhiraa nne.

Read all of Kutoka 36

Cross References

Exodus 26:7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 36:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 36:13Kutoka 36Kutoka 36:15 →