Kutoka 36:15
Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, + 36:15 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5. na upana wa dhiraa nne.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.
16Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine.