Kutoka 36:26
na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And their forty sockets of silver; two sockets under one board, and two sockets under another board.
In Context
25Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini
27Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,