Kutoka 36:27
Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for the sides of the tabernacle westward he made six boards.
In Context
26na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
28na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande uliokuwa mbali.
Cross References
Exodus 26:27matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili ya mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa maskani.