Kutoka 36:28
na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande uliokuwa mbali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And two boards made he for the corners of the tabernacle in the two sides.
In Context
27Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,