bible.software › Kutoka › Kutoka 36 › Kutoka 36:32
Kutoka 36:32
matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa maskani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And five bars for the boards of the other side of the tabernacle, and five bars for the boards of the tabernacle for the sides westward.
In Context
31Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,
33Wakatengeneza taruma la katikati, likapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Read all of Kutoka 36
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 36:32