bible.software › Kutoka › Kutoka 36 › Kutoka 36:33
Kutoka 36:33
Wakatengeneza taruma la katikati, likapenya katikati ya mihimili kutoka mwisho mmoja hadi mwisho mwingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he made the middle bar to shoot through the boards from the one end to the other.
In Context
32matano kwa ajili ya mihimili ya upande mwingine, na matano kwa ajili mihimili ya upande wa magharibi, mwisho kabisa mwa maskani.
34Wakaifunika hiyo mihimili kwa dhahabu, na wakatengeneza pete za dhahabu za kushikilia hayo mataruma. Pia wakayafunika hayo mataruma kwa dhahabu.
Read all of Kutoka 36
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 36:33