bible.software › Kutoka › Kutoka 36 › Kutoka 36:9
Kutoka 36:9
Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, + 36:9 Dhiraa 28 ni sawa na mita 12.6. na upana wa dhiraa nne + 36:9 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The length of one curtain was twenty and eight cubits, and the breadth of one curtain four cubits: the curtains were all of one size.
In Context
8Watu wote wenye ustadi miongoni mwa wafanyakazi wote wakatengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi akatirizi makerubi kwenye mapazia hayo.
10Wakayaunganisha mapazia matano pamoja, pia wakafanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.
Read all of Kutoka 36
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 36:9