The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 36 › Kutoka 36:10

Kutoka 36:10

Wakayaunganisha mapazia matano pamoja, pia wakafanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he coupled the five curtains one unto another: and the other five curtains he coupled one unto another.

In Context

9Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, + 36:9 Dhiraa 28 ni sawa na mita 12.6. na upana wa dhiraa nne + 36:9 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.

11Kisha wakatengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, pia wakafanya vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho.

Read all of Kutoka 36

Cross References

Psalms 122:3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji 2 ambao umeshikamanishwa pamoja. 1

Zephaniah 3:9“Ndipo nitatakasa midomo ya mataifa, 2 kwamba wote waweze kuliitia jina la Bwana 2 na kumtumikia kwa pamoja. 1

1 Corinthians 1:10Nawasihi ndugu zangu, katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, ili pasiwepo na matengano katikati yenu na kwamba mwe na umoja kikamilifu katika nia na katika kusudi.

1 Corinthians 12:27Sasa ninyi ni mwili wa Kristo na kila mmoja wenu ni sehemu ya huo mwili.

Ephesians 2:21Ndani yake jengo lote limeshikamanishwa pamoja na kusimamishwa ili kuwa Hekalu takatifu katika Bwana.

Philippians 2:2basi ikamilisheni furaha yangu kwa kuwa na nia moja, mkiwa na upendo huo moja, mkiwa wa roho na kusudi moja.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 36:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 36:9Kutoka 36Kutoka 36:11 →