Kutoka 37:20
Juu ya kinara chenyewe kulikuwepo na vikombe vinne vya mfano wa maua ya mlozi yakiwa na matovu yake na maua yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in the candlestick were four bowls made like almonds, his knops, and his flowers:
In Context
Cross References
Exodus 25:33Vikombe vitatu vya mfano wa maua ya mlozi yenye matovu na maua vitakuwa katika tawi moja, vikombe vitatu katika tawi jingine, na vivyo hivyo kwa matawi yote sita yanayotokeza kwenye kile kinara cha taa.
Ecclesiastes 12:5wakati watu watakapoogopa kilichoinuka juu 2 na hatari zitakazokuwepo barabarani; 1 wakati mlozi utakapochanua maua 2 na panzi kujikokota 2 nawe usiwe na shauku ya kitu chochote. 1 Ndipo mwanadamu aiendea nyumba yake ya milele 2 nao waombolezaji wakizunguka barabarani. 1