Mhubiri 12:5
wakati watu watakapoogopa kilichoinuka juu 2 na hatari zitakazokuwepo barabarani; 1 wakati mlozi utakapochanua maua 2 na panzi kujikokota 2 nawe usiwe na shauku ya kitu chochote. 1 Ndipo mwanadamu aiendea nyumba yake ya milele 2 nao waombolezaji wakizunguka barabarani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 44:29Ikiwa mtaniondolea huyu tena na akapatwa na madhara, mtashusha kichwa changu chenye mvi kaburini nikiwa mwenye huzuni.’
Genesis 50:3wakatumia siku arobaini, kwa maana ndio muda uliotakiwa wa kutia dawa ili asioze. Nao Wamisri wakamwombolezea Yakobo kwa siku sabini.
Job 15:10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, 2 watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 1
Job 30:23Ninajua utanileta mpaka kifoni, 2 mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 1
Psalms 71:18Ee Mungu, usiniache, 2 hata niwapo mzee wa mvi, 1 mpaka nitangaze uwezo wako kwa kizazi kijacho, 2 nguvu zako kwa wote watakaokuja baadaye. 1
Proverbs 20:29Utukufu wa vijana ni nguvu zao, 2 mvi ni fahari ya uzee. 1