The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 37 › Kutoka 37:23

Kutoka 37:23

Akatengeneza taa zake saba, na pia mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote kwa dhahabu safi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he made his seven lamps, and his snuffers, and his snuffdishes, of pure gold.

In Context

22Matovu na matawi yote yalikuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakiwa yamefuliwa kwa dhahabu safi.

24Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta + 37:24 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. moja ya dhahabu safi. 1 Madhabahu Ya Kufukizia Uvumba (Kutoka 30:1-5)

Read all of Kutoka 37

Cross References

Exodus 25:38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.

Zechariah 4:2Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikajibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake na taa zake saba juu yake, tena iko mirija saba ya kuleta mafuta, kwenye taa zote zilizo juu yake.

Revelation 1:20Kuhusu siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume na vile vinara saba vya taa vya dhahabu ni hii: Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, navyo vile vinara saba ni hayo makanisa saba.

Revelation 5:5Kisha, mmoja wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama, Simba wa kabila la Yuda, wa Uzao wa Daudi, ameshinda. Yeye ndiye anayeweza kukifungua hicho kitabu na kuvunja hizo lakiri zake saba.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 37:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 37:22Kutoka 37Kutoka 37:24 →