bible.software › Kutoka › Kutoka 37 › Kutoka 37:24
Kutoka 37:24
Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta + 37:24 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. moja ya dhahabu safi. 1 Madhabahu Ya Kufukizia Uvumba (Kutoka 30:1-5)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of a talent of pure gold made he it, and all the vessels thereof.
In Context
23Akatengeneza taa zake saba, na pia mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote kwa dhahabu safi.
25Akatengeneza madhabahu ya kufukizia uvumba kwa mbao za mshita. Ilikuwa ya mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, na kimo cha dhiraa mbili, nazo pembe zake zilikuwa kitu kimoja nayo.
Read all of Kutoka 37
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 37:24