bible.software › Exodus › Exodus 38 › Exodus 38:2
Exodus 38:2
Akatengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu zikawa zimeungana, akafunika madhabahu kwa shaba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he made the horns thereof on the four corners of it; the horns thereof were of the same: and he overlaid it with brass.
In Context
1Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; + 38:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano + 38:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
3Akatengeneza vyombo vyake vyote kwa shaba: vyungu vyake vya kuondolea majivu, masepetu, mabakuli ya kunyunyizia, uma za nyama na vyombo vya kuchukulia moto.
Read all of Exodus 38
Cross References
Exodus 27:2Tengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, na ufunike madhabahu kwa shaba.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 38:2