Kutoka 38:20
Vigingi vyote vya maskani na vya ua ulioizunguka vilikuwa vya shaba. 1 Vifaa Vilivyotumika
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the pins of the tabernacle, and of the court round about, were of brass.
In Context
Cross References
2 Chronicles 3:9Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. + 3:9 Shekeli 50 za dhahabu ni sawa na gramu 600. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu.
Ecclesiastes 12:11Maneno ya wenye hekima ni kama mchokoro, mithali zao zilizokusanywa pamoja ni kama misumari iliyogongomewa ikawa imara, yaliyotolewa na Mchungaji mmoja.
Isaiah 33:20Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu; 2 macho yenu yatauona Yerusalemu, 2 mahali pa amani pa kuishi, hema ambalo halitaondolewa, 1 nguzo zake hazitangʼolewa kamwe, 2 wala hakuna kamba yake yoyote itakayokatika. 1
Colossians 2:19Yeye amepoteza ushirikiano na Kichwa, ambaye kutoka kwake mwili wote unalishwa na kushikamanishwa pamoja kwa viungo na mishipa, nao hukua kwa ukuaji utokao kwa Mungu. 1 Maonyo Dhidi Ya Walimu Wa Uongo