The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 33 › Isaiah 33:20

Isaiah 33:20

Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu; 2 macho yenu yatauona Yerusalemu, 2 mahali pa amani pa kuishi, hema ambalo halitaondolewa, 1 nguzo zake hazitangʼolewa kamwe, 2 wala hakuna kamba yake yoyote itakayokatika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Look upon Zion, the city of our solemnities: thine eyes shall see Jerusalem a quiet habitation, a tabernacle that shall not be taken down; not one of the stakes thereof shall ever be removed, neither shall any of the cords thereof be broken.

In Context

19Hutawaona tena wale watu wenye kiburi, 2 wale watu wenye usemi wa mafumbo, 2 wenye lugha ngeni, isiyoeleweka. 1

21Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu. 2 Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. 1 Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, 2 wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko. 1

Read all of Isaiah 33

Cross References

Deuteronomy 16:16Wanaume wenu wote lazima wajitokeze mara tatu kwa mwaka mbele za Bwana Mungu wenu mahali atakapopachagua: kwa ajili ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, Sikukuu ya Majuma, na Sikukuu ya Vibanda. Hakuna mtu atakayejitokeza mbele za Bwana mikono mitupu:

Psalms 46:6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, 2 Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 1

Psalms 48:13yatafakarini vyema maboma yake, 2 angalieni ngome zake, 1 ili mpate kusimulia habari zake 2 kwa kizazi kijacho. 1

Psalms 125:1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1

Isaiah 4:5Kisha Bwana ataumba juu ya Mlima wote wa Sayuni, na juu ya wale wote wanaokusanyika hapo, wingu la moshi wakati wa mchana, na kungʼaa kwa miali ya moto wakati wa usiku, nako juu ya huo utukufu wote kutatanda kifuniko cha ulinzi.

Isaiah 37:33“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru: 1 “Hataingia katika mji huu 2 wala hatapiga mshale hapa. 1 Hatakuja mbele yake na ngao 2 wala kupanga majeshi kuuzingira. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 33:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 33:19Isaiah 33Isaiah 33:21 →