bible.software › Kutoka › Kutoka 38 › Kutoka 38:29
Kutoka 38:29
Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. + 38:29 Talanta 70 na shekeli 2,400 ni sawa na tani 2.4.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the brass of the offering was seventy talents, and two thousand and four hundred shekels.
In Context
28Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
30Akaitumia hiyo shaba kutengeneza vitako vya ingilio la Hema la Kukutania, madhabahu ya shaba pamoja na ule wavu wake na vyombo vyake vyote,
Read all of Kutoka 38
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 38:29