bible.software › Kutoka › Kutoka 38 › Kutoka 38:28
Kutoka 38:28
Akatumia zile shekeli hizo 1,775 kutengeneza kulabu za nguzo, kufunika ncha za nguzo na kutengeneza vitanzi vyake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of the thousand seven hundred seventy and five shekels he made hooks for the pillars, and overlaid their chapiters, and filleted them.
In Context
27Talanta hizo 100 za fedha zilitumika kusubu vile vitako mia moja kwa ajili ya mahali patakatifu na pazia: vitako mia moja kwa talanta mia, yaani, talanta moja kwa kila kitako.
29Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400. + 38:29 Talanta 70 na shekeli 2,400 ni sawa na tani 2.4.
Read all of Kutoka 38
Cross References
Exodus 27:17Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 38:28