Kutoka 38:7
Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao. 1 Sinia La Kunawia (Kutoka 30:18)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuifunika kwa shaba.
Cross References
1 Corinthians 1:24Lakini kwa wale ambao Mungu amewaita, Wayahudi na pia Wayunani, Kristo ndiye nguvu ya Mungu na pia hekima ya Mungu.