The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 38 › Kutoka 38:8

Kutoka 38:8

Akatengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kutoka kwa vioo vya shaba vilivyotolewa na wanawake waliohudumu pale ingilio la Hema la Kukutania. 1 Ua Wa Hema La Kukutania (Kutoka 27:9-19)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he made the laver of brass, and the foot of it of brass, of the lookingglasses of the women assembling, which assembled at the door of the tabernacle of the congregation.

In Context

7Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao. 1 Sinia La Kunawia (Kutoka 30:18)

9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, + 38:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45. na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,

Read all of Kutoka 38

Cross References

Exodus 30:17Kisha Bwana akamwambia Mose,

Exodus 40:7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.

1 Samuel 2:22Basi Eli, ambaye alikuwa mzee sana, alisikia kuhusu kila kitu ambacho wanawe walikuwa wakiwafanyia Israeli wote na jinsi walivyokutana kimwili na wanawake waliohudumu kwenye ingilio la Hema la Kukutania.

1 Kings 7:38Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, + 7:38 Bathi 40 ni sawa na lita 800. yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne + 7:38 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.

Psalms 26:6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, 2 naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 1

Isaiah 3:23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 38:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 38:7Kutoka 38Kutoka 38:9 →