Exodus 39:13
katika safu ya nne ilikuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Vito hivyo vilitiwa kwenye vijalizo vya dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12safu ya tatu ilikuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;
Cross References
Genesis 2:12(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.)
Exodus 28:11Yachore majina ya wana wa Israeli juu ya vito hivyo viwili kama vile sonara anavyochonga muhuri. Kisha uvitie vito hivyo katika vijalizo vya dhahabu,
Song of Solomon 5:14Mikono yake ni fimbo za dhahabu 2 iliyopambwa kwa krisolitho. 1 Mwili wake ni kama pembe ya ndovu iliyongʼarishwa 2 iliyopambwa na yakuti samawi. 1