Genesis 2:12
(Dhahabu ya nchi hiyo ni nzuri, bedola na vito shohamu pia hupatikana huko.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the gold of that land is good: there is bdellium and the onyx stone.
In Context
11Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu.
13Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi.
Cross References
Exodus 28:20na safu ya nne itakuwa na krisolitho, shohamu na yaspi. Yote yatiwe kwenye vijalizo vya dhahabu.
Numbers 11:7Mana ilifanana kama mbegu za giligilani, nayo ilikuwa na rangi ya manjano iliyopauka.
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1