bible.software › Exodus › Exodus 39 › Exodus 39:24
Exodus 39:24
Akatengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na ya kitani iliyosokotwa vizuri kuzunguka pindo la hilo joho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they made upon the hems of the robe pomegranates of blue, and purple, and scarlet, and twined linen.
In Context
23na lilikuwa na nafasi ya shingo katikati ya joho lile iliyofanana na ukosi, na utepe ulioshonwa kuizunguka nafasi hiyo ili isichanike.
25Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuvishikamanisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga.
Read all of Exodus 39
Cross References
Galatians 5:22Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,
This Verse In Other Editions
Study Exodus 39:24