bible.software › Exodus › Exodus 39 › Exodus 39:25
Exodus 39:25
Kisha akatengeneza vikengele vya dhahabu safi na kuvishikamanisha kuzunguka pindo hilo kati ya hayo makomamanga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they made bells of pure gold, and put the bells between the pomegranates upon the hem of the robe, round about between the pomegranates;
In Context
24Akatengeneza makomamanga ya nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na nyekundu na ya kitani iliyosokotwa vizuri kuzunguka pindo la hilo joho.
26Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Read all of Exodus 39
Cross References
Psalms 89:15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, 2 wanaotembea katika mwanga 2 wa uwepo wako, Ee Bwana. 1
This Verse In Other Editions
Study Exodus 39:25