Exodus 39:26
Hivyo vikengele na makomamanga vilipishana kuzunguka upindo wa joho ili livaliwe kwa kuhudumu, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Pia akamtengenezea Aroni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji,
Cross References
Exodus 28:34Hivyo vikengele vya dhahabu na makomamanga vitapishana kuzunguka upindo wa joho lile.
Song of Solomon 4:3Midomo yako ni kama uzi mwekundu, 2 kinywa chako kinapendeza. 1 Mashavu yako nyuma ya shela yako 2 ni kama vipande viwili vya komamanga. 1
Song of Solomon 6:7Mashavu yako nyuma ya shela yako 2 ni kama vipande viwili vya komamanga. 1