Exodus 39:43
Mose akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Mose akawabariki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
42Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Mose.
Cross References
Genesis 14:19Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Exodus 12:28Waisraeli wakafanya kama vile Bwana alivyomwagiza Mose na Aroni.
Exodus 40:25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.
Leviticus 16:34“Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu: Upatanisho utafanywa mara moja tu kwa mwaka kwa ajili ya dhambi zote za Waisraeli.” Ndivyo ilivyofanyika, kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.
Joshua 22:6Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao.
2 Samuel 6:18Baada ya kumaliza kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, Daudi akawabariki watu katika jina la Bwana Mwenye Nguvu Zote.