Mwanzo 14:19
Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he blessed him, and said, Blessed be Abram of the most high God, possessor of heaven and earth:
In Context
18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.
Cross References
Genesis 24:3Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,
Genesis 27:25Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.
Genesis 47:10Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.
Genesis 49:28Haya yote ndiyo makabila kumi na mawili ya Israeli, na hivi ndivyo baba yao alivyowaambia alipowabariki, akimpa kila mmoja baraka inayomfaa. 1 Kifo Cha Yakobo
Deuteronomy 10:14Mbingu, hata mbingu za juu sana, dunia na kila kitu kilichomo ndani yake, ni mali ya Bwana Mungu wako.
2 Samuel 2:5akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi-Gileadi kuwaambia, “ Bwana awabariki kwa kuonyesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu.