Exodus 4:10
Mose akamwambia Bwana, “Ee Bwana, kamwe sijapata kuwa msemaji kwa ufasaha wakati uliopita wala tangu ulipoanza kuzungumza na mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito kuzungumza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 4:1Mose akamjibu, “Itakuwaje kama hawataniamini au kunisikiliza, waseme, ‘ Bwana hakukutokea’?”
Job 12:2“Bila shaka ninyi ndio watu, 2 nayo hekima itakoma mtakapokufa! 1
Acts 7:22Mose akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
2 Corinthians 10:10Kwa maana wanasema, “Nyaraka zake ni nzito na zenye nguvu, lakini ana kwa ana ni dhaifu na kuzungumza kwake ni kwa kudharauliwa.”