Job 12:2
“Bila shaka ninyi ndio watu, 2 nayo hekima itakoma mtakapokufa! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
No doubt but ye are the people, and wisdom shall die with you.
In Context
3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1
Cross References
Job 6:24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; 2 nionyesheni nilikokosea. 1
Job 11:2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1
Job 11:12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, 2 endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 1
Job 17:4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, 2 kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 1
Job 20:3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima, 2 nao ufahamu wangu unanisukuma kujibu. 1
Job 32:7Nilifikiri, ‘Yafaa umri useme, 2 nao wingi wa miaka ungefundisha hekima.’ 1