Kutoka 40:11
Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt anoint the laver and his foot, and sanctify it.
In Context
12“Mlete Aroni na wanawe kwenye ingilio la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji.
Cross References
Exodus 31:9madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake,
1 Kings 7:38Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, + 7:38 Bathi 40 ni sawa na lita 800. yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne + 7:38 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.