The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 40 › Exodus 40:24

Exodus 40:24

Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he put the candlestick in the tent of the congregation, over against the table, on the side of the tabernacle southward.

In Context

23na kupanga mikate juu yake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.

25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.

Read all of Exodus 40

Cross References

Exodus 26:35Weka meza nje ya pazia upande wa kaskazini wa Hema, kisha weka kinara cha taa upande wa kusini wa Hema.

Psalms 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu 2 na mwanga katika njia yangu. 1

John 1:5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.

John 8:12Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”

Revelation 2:5Kumbuka basi ni wapi ulikoangukia! Tubu na ukafanye matendo yale ya kwanza. Kama usipotubu, nitakuja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 40:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 40:23Exodus 40Exodus 40:25 →