The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 40 › Exodus 40:28

Exodus 40:28

Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he set up the hanging at the door of the tabernacle.

In Context

27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza.

29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.

Read all of Exodus 40

Cross References

Exodus 38:9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, + 38:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45. na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,

John 10:9Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

Ephesians 2:18Kwa maana kwa kupitia kwake, sisi sote tunaweza kumkaribia Baba katika Roho mmoja.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 40:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 40:27Exodus 40Exodus 40:29 →