Kutoka 40:29
Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Kisha akaweka pazia kwenye ingilio la Maskani ya Mungu.
30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,
Cross References
Exodus 27:1“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu; + 27:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, + 27:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25. na upana wake dhiraa tano.
Exodus 38:1Akatengeneza madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa mbao za mti wa mshita, kimo chake dhiraa tatu; + 38:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. nayo ilikuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, na upana wa dhiraa tano + 38:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
Leviticus 1:1Bwana akamwita Mose na kusema naye kutoka kwenye Hema la Kukutania, akamwambia,
Matthew 23:19Ninyi vipofu! Ni kipi kikuu zaidi: ni sadaka, au ni madhabahu yanayoifanya hiyo sadaka kuwa takatifu?
Hebrews 9:12Hakuingia kwa njia ya damu ya mbuzi na ya ndama; lakini aliingia Patakatifu pa Patakatifu mara moja tu kwa damu yake mwenyewe, akiisha kupata ukombozi wa milele.
Hebrews 13:10Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.