The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 40 › Kutoka 40:31

Kutoka 40:31

Naye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Moses and Aaron and his sons washed their hands and their feet thereat:

In Context

30Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,

32Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Read all of Kutoka 40

Cross References

Exodus 30:19Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.

Psalms 51:6Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni, 2 ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima. 1

1 John 1:7Lakini tukienenda nuruni, kama yeye alivyo nuruni, twashirikiana sisi kwa sisi na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 40:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 40:30Kutoka 40Kutoka 40:32 →