The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 40 › Exodus 40:32

Exodus 40:32

Wakanawa kila walipoingia katika Hema la Kukutania au walipoikaribia madhabahu kama Bwana alivyomwagiza Mose.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When they went into the tent of the congregation, and when they came near unto the altar, they washed; as the LORD commanded Moses.

In Context

31Naye Mose, Aroni na wanawe wakayatumia kwa kunawia mikono na miguu yao.

33Kisha Mose akafanya ua kuizunguka Maskani ya Mungu na madhabahu, pia akaweka pazia kwenye ingilio la huo ua. Hivyo Mose akaikamilisha kazi. 1 Utukufu Wa Bwana (Hesabu 9:15-23)

Read all of Exodus 40

Cross References

Exodus 29:4Kisha mlete Aroni na wanawe kwenye lango la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji.

Exodus 40:19Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama Bwana alivyomwagiza.

Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 40:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 40:31Exodus 40Exodus 40:33 →