Exodus 40:4
Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 26:35Weka meza nje ya pazia upande wa kaskazini wa Hema, kisha weka kinara cha taa upande wa kusini wa Hema.
Exodus 37:10Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 37:10 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, + 37:10 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Leviticus 24:5“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa + 24:5 Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili. za unga kwa kila mkate.