The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 37 › Kutoka 37:10

Kutoka 37:10

Akatengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 37:10 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, + 37:10 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa moja na nusu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he made the table of shittim wood: two cubits was the length thereof, and a cubit the breadth thereof, and a cubit and a half the height thereof:

In Context

9Makerubi hao walikuwa wametandaza mabawa kuelekea juu, wakitia kivuli hicho kifuniko. Makerubi hao walielekeana, wakitazama hicho kifuniko. 1 Meza (Kutoka 25:23-30)

11Kisha akaifunika kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.

Read all of Kutoka 37

Cross References

Exodus 25:23“Tengeneza meza ya mbao za mshita yenye urefu wa dhiraa mbili, + 25:23 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. upana wa dhiraa moja, na kimo cha dhiraa moja na nusu.

Exodus 40:4Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.

Ezekiel 40:39Kwenye baraza ya lile lango kulikuwepo meza mbili kila upande, ambako sadaka za kuteketezwa, sadaka za dhambi na sadaka za hatia zilichinjiwa.

John 1:14Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni mwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli.

Colossians 1:27Kwao, Mungu amechagua kujulisha miongoni mwa watu wa Mataifa utukufu wa utajiri wa siri hii, ambayo ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 37:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 37:9Kutoka 37Kutoka 37:11 →